
bahati - pete yangu كلمات أغنية
[intro: nadia]
(e_e_emb records!)
nadia na bahati tena
[verse 1: bahati & nadia]
mi si lover boy in case you don’t know
si lover boy oooh no
mi si lover gal in case you don’t know
sio kama yule demu ooh no
[verse 2: bahati & nadia]
na kama njiwa anavyopepea
roho yangu unaiilemea
kasura pia nako ulipokea
naona mungu kakupendelea
[bridge: bahati & nadia]
basi nik_mbatie hadharani
unipe ya chumbani
we ni moto o
we ni moto
[chorus: bahati & nadia]
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
[verse 3: bahati]
toka kwa jua njoo kwenye hema
wamеkutesa sana mi ndio chanda chema
nawapambe walе wasiopenda mema
wanatuombea vita ccm chandema
[verse 4: nadia]
yaani we moto hauzimi
na kwa maneno ya ulimi
nishasadiki
moyo kakupenda tu wewe
[bridge: bahati & nadia]
basi nik_mbatie hadharani
unipe ya chumbani
we ni moto o
we ni moto
[chorus: bahati & nadia]
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
pete yangu, pete yangu
pete ya .. we nikama pete yangu
كلمات أغنية عشوائية
- critter (d) - d*ckhard/rockstar كلمات أغنية
- jasin ktwo - mknąc przez życie كلمات أغنية
- giuse the lizia - boy, don't cry كلمات أغنية
- austin joyce - solace كلمات أغنية
- lockage - drk/knight كلمات أغنية
- tensnake - call me كلمات أغنية
- otscamo - dub كلمات أغنية
- xamã - dublê de marido كلمات أغنية
- naod - talk my shit كلمات أغنية
- samuel borda - suwie كلمات أغنية