kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bahati – mapenzi كلمات اغاني

Loading...

wengi kwa mapenzi hawana imani, yaliwaumiza sana, mapezi yana tesa zaidi ya money×2
yalimtesanga kakangu zamani, nyumbani kawa kisirani.washirika wakatoka kanisani,, yalimtesa kakangu zamani wameyaiba kwa burudani, mwenyewe ayaonyesha msalabani
oooh oh ooh ohh mapezi mbona utatesa tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2
nilifunzwa na babu alivyo mtunza nyanyaa.nikasoma kwa baba naye anavyompenda mamaa×2
na adamu akampenda hawa sababu akala lile tunda.hapo ndipo dhambi kazaliwa,, unak-mbukaa weee na adamu akampenda hawa haraku ndo maana tunalia.kwa mapenzi inafanya tunacheka,, unanipataa.

oooh oh ooh oh mapenzi kwanini unatesa tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2
nkaogopa kupenda tena, nikaogopa kupata w-ngu., mtoto wa mama.mbona unatesa mapenzi.mbona unatesa kwai nini,, mbona unatesa mapenzi
kazini, nyumbani, kanisa inasema
ooh ooh ooh oh mapenzi kwa nini unatea tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...