
bahati bukuku - heshima ya dhahabu كلمات أغنية
majaribu yamekuwa sehemu ya maisha yangu
eh baba nisaidie nitie nguvu
majaribu yamekuwa sehemu ya maisha yangu
eh baba nisaidie nitie nguvu
nafurahi sitahili maana naona lile
nafurahi sitahili baba maana ingine
mbele yangu baba naona mlima mkubwa baba
nashindwa kuendelea messiah
maadui zangu baba wameinuka sana
wanawinda roho yangu mchana na usiku
mbele yangu baba naona mlima mkubwa baba
nashindwa kuendelea eeh messiah
wanawinda roho yangu mchana na usiku
majaribu yamekuwa yakinichokora moyo
eh baba nisaidie nitie nguvu
majaribu yamekuwa msiba moyoni mw_ngu
eh baba nisaidie nitie nguvu
mbele yangu baba naona mlima mkubwa
nashindwa kuendelea eeh messiah
nyuma yangu baba naona simba
wanaowinda roho yangu
mbele yangu baba naona mlima mkubwa
nashindwa kuendelea eeh messiah
nyuma yangu baba naona simba
wanaowinda roho yangu mchana na usiku
kipa naskia sauti moyoni mw_ngu ikiniambia mwanangu songa mbele
kipa naskia sauti moyoni mw_ngu ikiniambia mwanangu sijakuwacha
kipa nafurahia aah ninaposoma neno lako
linanitia nguvu mimi
linanishidia majaribu
linanifanya niwe uhuru
mbele zako baba
nipo nak_mbuka ahadi zako mungu juu yangu
umesema nitashinda
umesema nitashinda
umesema utaniinua mbele ya adui zangu
nipo nakubumba eeh safari ya wanaisraeli baba
ni wewe uliyeshindia
ni wewe uliyewapigania
ninajua utanipigania na mimi nitashinda
ni wewe uliwashindia
ni wewe uliwapigania
na mimi ninajua utanipigania mbele ya adui zangu
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w_ngu nitashindwa
كلمات أغنية عشوائية
- roy drusky - apartment no.9 كلمات أغنية
- roy drusky - as long as i live كلمات أغنية
- roy drusky - auf wiederseh'n sweetheart كلمات أغنية
- roy drusky - at times everybody's blind كلمات أغنية
- roy drusky - back street affair كلمات أغنية
- roy drusky - before i lose my mind كلمات أغنية
- roy drusky - before i lost you كلمات أغنية
- roy drusky - billy bayou كلمات أغنية
- roy drusky - blue canadian rockies كلمات أغنية
- roy drusky - burning bridges كلمات أغنية