babbi - kalenda كلمات أغنية
chorus
chorus
umetupa
kalenda yamaisha
ukatupa
mwanzo wa maisha
na mwisho
mwisho wa maisha
siku ya manunkuniko x2
_________instrument_____
verse
kazi ya mungu haina makosa
anatupa na anachukuwa
nimipango yake
yeye ndo mwenye anaejuwa
maisha yetu ‘ mwanzo na mwisho wetu
j_po yanatutoka majozi
myoyo ndani ikiumia
tujipe moyo maana sote ndo safari
naiposiku tutakutana tena oh ye ye
chorus
umetupa
kalenda yamaisha
ukatupa
mwanzo wa maisha
na mwisho
mwisho wa maisha
siku ya manunkuniko x2
verse 2
ona mama anavyolia,baba anavyolia
ndugu wanavyolia, rafiki wanavyolia yay a
ungetupa na fasi j_po tuagane kidogo
j_po salamu wengine tungekutumia
ila umetuficha sirikubwa sirikubwa baba
najua ya jana sijui ya kesho ‘o ‘
nachoambiwa nitubu dhambi nikae tayari
tayari, tayari
outro
yeah..!
kifo hakijui ndugu
tajiri, urefu, maskini, rangi ao sura
uwe mkubwa ao mtoto, sote ni njia moja
kwahiyo kaa umejisafisha, tuongoze babba
amen..!
كلمات أغنية عشوائية
- anyel , ñengo flow , sanguinario el sica , dsj , gaona - rookies of the year كلمات أغنية
- lil deimos - find me كلمات أغنية
- simba la rue - sacoche كلمات أغنية
- aidan moffat & rm hubbert - only you كلمات أغنية
- meg toohey - are you gonna be the one كلمات أغنية
- jay critch - stacy dash كلمات أغنية
- brown tigger (브라운티거) - 세대 (generation) كلمات أغنية
- little g fresh - memories كلمات أغنية
- artigeardit - gamle vaner* كلمات أغنية
- kaen - dynamit كلمات أغنية