kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

axe khaliff - ole كلمات أغنية

Loading...

axe_ ole lyrics

intro

verse 1

nimejisahau,nimejisahau,nimejisahau
shepherd
nimejisahau,nimejisahau,nimejisahau

nimelala usingizi wa pono,niamshe asubuhi nitajuta
kuliko na maji nikoge,city boy nimejawa na uba
primo nilisare uongo,campo nikarudia ushujaa
walipo kila mtu anione,si unione iiiiiiiiii yeah eh

bridge

sabato sio summer time nimejisahau ni ya mungu
kila saa niko tip downtown nikigonga glass ni uzungu eeh
fasheni imenipambaza kila simu time,niko bongo
amenimaliza huyu devil ni mchungu

chorus

ole ole ole
ole ole ole
oleeeeeeeee
nimelala fofofo kwenye utajiri mwingi nimejisahau
ole ole ole
ole ole ole
oleeeeeeee
nimelala fofofo kwenye uongo mwingi mwingi nimejisahau

ole ole ole eh
ole ole ole
oleeeeeee
nimelala fofofo kwenye uasherati mwingi nimejisahau

ole ole ole
ole ole ole
oleeeeeee
nimelala fofofo kwenye ufisadi mwingi nimejisahau

i eh eh ,nimejisahau ,yeah

verse 2

ahh nimtafute aliko aliyeniokoa ni jesus
niyatimize maandiko nikiwa na yeye ni defense
kwenye uasi na kifo,aliniahidi nisitense
atakuwa na mimi when i”m making,when i”m making a difference

huku kuna ushetani unanyemelea nyuma_chini_kwa ndani
niamshe ili niwe nawe mw_ngani
mw_nga ni wa nuru
i say rahani
nuru weeeeeeee
brigde

sabato sio summer time nilijisahau ni ya mungu
kila saa niko tip downtown nikigonga glass ni uzungu eeh
fasheni imenipambaza kila simu time,niko bongo
amenimaliza huyu devil ni mchungu

chorus

ole ole ole
ole ole ole
oleeeeeeeee
nimelala fofofo kwenye utajiri mwingi nimejisahau

ole ole ole
ole ole ole
oleeeeeeee
nimelala fofofo kwenye uongo mwingi mwingi nimejisahau

ole ole ole eh
ole ole ole
oleeeeeee
nimelala fofofo kwenye uasherati mwingi nimejisahau

ole ole ole
ole ole ole
oleeeeeee
nimelala fofofo kwenye ufisadi mwingi nimejisahau

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...