kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

at - nipigie كلمات الأغنية

Loading...

(instrumentals)

[verse 1: a.t.]
hapo ulipo unafanya nini?
sijui, mpenzi we umeshakula
napata shauku ya kukuona
kwani tangu nilipotoka
nataka nirudi nyumbani
nikupe stori fulani
tukiwa pamoja mezani
iih…

[chorus: a.t. & stara thomas]
kwanza ‘nipigie
mpenzi, nipigie
nakupigia honey
nipigie laazizi, nipigie
nina kazi jikoni
nipigie
oh
wife nipigie
nakupigia darling
nipigie, oh
honey nipigie

[pre_chorus: a.t. & stara thomas]
mi nawe kitu kimoja, oh, kimoja
oh, mi nawe lengo ni moja, oh, moja, moja
mi nawe kitu kimoja, oh, moja
mi nawe lengo ni moja
[chorus: a.t & stara thomas]
nipigie
mpenzi, nipigie
na kupigia honey
nipigie, oh
laazizi nipigie
nina kazi jikoni
nipigie
oh
wife nipigie
nakupigia darling
nipigie, oh
honey nipigie

[verse 3: stara thomas]
sema mpenzi unasemaje?
ndio naweka msosi mezani
ila nyumbani usichеlewe
nina hamu na hiyo stori
stori yenyеwe ya nani?
usije nizuga mezani
maana nnavyo tamani

[chorus: stara thomas & a.t.]
nipigie
mpenzi, nipigie
na kupigia honey
nipigie
laazizi nipigie
naweka vocha mami
nipigie
oh, sweetie nipigie
ngoja niende dukani
nipigie
mume w_ngu nipigie,ngoja niende dukani
[pre_chorus: stara thomas & a.t.]
mi nawe kitu kimoja, mi nawe kitu kimoja
mi nawe lengo ni moja, mi nawe lengo ni moja
mi nawe kitu kimoja, najua, najua
mi nawe lengo ni moja, mi nawe lengo ni moja

(instrumentals)

[outro: a.t. & stara thomas]
nipigie, mpenzi nipigie
nipigie, mpenzi nipigie
nipigie, laazizi nipigie
nipigie mume w_ngu, nipigie

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...