
aslay - wife كلمات أغنية
ooh, gagaaa,
wife wee,
wife material, kipenda roho,
chekecha weka kwa chujio maneno yao.
waambie umeshikwa umedata na mimi, mtoto show.
tuwavunje mifupa tuwakate vilimi, yooh, waumie roho,
nitakonda, ahaa, ukiniacha mbele za watu, ahaa
nitachoka, ahaa kuficha mapenzi chini ya kiatu, ahaa
usipunguze ongeza, pakavu natelezaa
we pekee unaniweza niongeze mchuzi wa pweza ninywee,
baby ooh baby, baby ooh baby, baby ooh baby
ubavu w-ngu wa pembenii, chokochoko, baby eeh
laka laka chokochoko, kidume mashine ee, chokochoko, ooh na naaaa
laka laka chokochoko,matam tam tam, chokochoko, woooh
nasihongi hata buku, eeeeh
ii, maruhani au masubianii
yakikupandaga kichwani vurugu tupu kitandani,
ooh gagaa,
mtoto show,
rangi ya jogoo,
mi ndo shiza kichura kwenye mechi tukikutana lazima nishinde goal,
mmmh, nakupenda ukipitisha ulimi kwenye sikio,
ukinipapasa kifuani nakupa vyeo,
babu juma akicheza kwakwaru we ni kilio,
ukinipa mate vinatokaga vinyweleo, mwilini
nitakonda ahaa ukiniacha mbele za watu ahaa
nitachoka ahaa kuficha mapenzi chini ya kiatu ahaa,
usipunguze ongeza, pakavu natelezaa.
we pekee unnaniweza, ongeze mchuzi wa pweza, ninywee
baby ooh baby, baby ooh baby,
baby ooh baby ubavu w-ngu wa pembenii, chokochoko,
baby eeh,laka laka chokochoko, baba only you, chokochoko,
ooh nana, laka laka chokochoko tam tam taaam, chokochoko, ooh
na sihongi hata buku, only you, wewee
baby only you, baby weweee,
utafanya nikuroge nishike,kivuli, only you,
baby only you utafanya nikuroge nishike kivulii,
كلمات أغنية عشوائية
- carl perkins - daddy sang bass كلمات أغنية
- captain tennille - have yourself a merry little christmas كلمات أغنية
- cardiac move - the colouria كلمات أغنية
- joe cocker - ruby lee كلمات أغنية
- joe diffie - i got a feelin' كلمات أغنية
- joan baez - steal across the border كلمات أغنية
- cansei de ser sexy - music is my hot hot sex كلمات أغنية
- joe jackson - one to one كلمات أغنية
- joan jett the blackhearts - rebel, rebel كلمات أغنية
- caravan - love in your eye كلمات أغنية