aslay - bembea كلمات أغنية
[intro : aslay]
nah nah nah nah nah nah nah…
[verse 1 : aslay]
wapi unawaumizaga
niambie tuwakomeshe
tuwakomeshe vishadai
wavimbe wateseke
we nipende tu
nipe na nyota nitembelee
wachawi viga kura
beiby tushikane tuwakemee
we ni doctor mi mgonjwa
ndo maana nikikuona
mwenzako ninapona
umenijaa akilini
ndo maana nakutaja
mwenzako kila ngoma
[pre chorus]
beiby, tuifiche hiyo siri
tusionyeshe dhahiri
huw_nga wanasubiri
waone utavyonimwaga
wa mbili awe mbili
wa kwanza tuwe wa kweli
[verse 2 : aslay]
ah nataka ta takataa
natakata na penzi lako
na nitadata nitadata
ukininyima hicho ulichokuwa nacho
naridhika ridhika
naridhika na huba lako
nakuahidi nitakufa
nikija kulikosa hilo penzi lako
[chorus]
bembea, mahabuba bembea oooh
bembea, nakuruhusu ning’inia
kwenye moyo w_ngu
bembea, lazizi bembea oooh
bembea, mwenzako nasikia raha sana
[bridge : aslay]
nasi tun_z_ma data
simu zao tunakata
tudanane kama mapacha
wawili wawili, wawili twende mbele
[verse 3 : alikiba]
ulivyo mtamu ratili
sukari usiongezee
ujuzi unao, uzuri unao nashiba
mahaba ilegezee eeh
ah ukinigusa nasisimua
jaa jaa bigwa wako sasambua
umeniweza mtoto wa kishua
shida zangu zote unatatua
ndo maana nakupenda
palipo ufa tujenge
usisikize wapambe wee
we nipende nikupende
na ndio maana nakupenda
[pre_chorus : alikiba]
tuifiche hiyo siri
tusionyeshe dhahiri
huw_nga wanasubiri
waone utavyonimwaga
wa mbili awe mbili
wa kwanza tuwe wa kweli
wambeya wanasubiri wapate
cha kusemaga
[chorus : aslay & alikiba]
bembea, bembea unawamaliza
bembea, wakose cha kusemaga
hakuna kutafuna
bembea, bembea unawamaliza
bembea, wakose cha kusemaga
hakuna kutafuna
كلمات أغنية عشوائية
- portorosso - anyanyany كلمات أغنية
- мезза (mezza) - оазис (oasis) كلمات أغنية
- killmyheartbaby - esqueleto كلمات أغنية
- yung snapp - shawty كلمات أغنية
- quatrehuit - letters كلمات أغنية
- rainstorm society - erectile dysfunction كلمات أغنية
- mashaole mogale - pascal’s wager كلمات أغنية
- mavi gri - bu kız benim kaderim كلمات أغنية
- tommy & the high pilots - use your head كلمات أغنية
- ren alberg - make it right ii كلمات أغنية