
aslay feat. harmonize - follow me (feat. harmonize) كلمات أغنية
ok, sina pesa kama billget
nina pesa tu zakukufanya husincheat
nitakupa tamu yani mapenzi ya dhati
follo me
eh we mtamu kama keki
uzuri wako ex w_ngu haufikii
nakuomba baby please follow me
nimefunga break nimeweka nukta
kwenye barabara umeweka tuta
yani we ndo beki bonge la ukuta baby
unakula alichokisusa (ex)
unakula nyama mpka mifupa (ex)
unataka nini mm nitakupa baby
navunja n_z_ wa hubani
nachotaka uwe nami baby follow me
nimefumba macho sioni
umeniweka moyoni baby follow me
follow follow follow me
mwenzako hoi tahabani sitaki kukuacha
please follow me
call call call me
nakupenda wala sikutamani
husije kunikataa please follow me
hivi watajuaje kama unanipenda
husiponifata kila ninapokwenda
ila macho kuona ningekupiga denda follow me
oh siku tukiachana ni mungu amependa
ila si kwa maneno ya wanakwenda
watatuona mbele tunakwenda follow me
sawa baby nitaanzaje kukuacha
wakati mi na we mapacha
wanakuja wanatwacha follow me
honey honey
sina gari na nyumba ila kinatutosha kichumba
nikifumba macho we fumba follow me
oh mwenzako navunja n_z_ wahubani
ninachotaka uwe nami please follow me
ukweli w_ngu wa moyoni mwengine sioni
please follow me
follow follow follow me
mwenzako hoi tahabani sitaki kukuacha
please follow me
call call call me
nakupenda wala sikutamani
husije kunikataa please follow me
my baby come to me
my baby follow me
please baby kua na mi
كلمات أغنية عشوائية
- araz - արցունքները աչքերիս (artzunqners achqeris) كلمات أغنية
- get some - green means growing كلمات أغنية
- former vandal - angel كلمات أغنية
- one shade of soul - da joint كلمات أغنية
- xanman - guessed كلمات أغنية
- will trill - la fama كلمات أغنية
- bobby conte thornton - along the way كلمات أغنية
- bobby conte thornton - nature boy / blame it on my youth كلمات أغنية
- kvngmikey - luv wounds كلمات أغنية
- pablo guerrero - me encontrarás كلمات أغنية