asagwile - asante baba lyrics
hakuna tena mwingine
mwenye mamlaka kama we
mfalme wa wafalme ni wewe
siabudu mwingine
baba nishike mkono
ukae na mimi
usipo nishika mkono
nitabaki na nani? (nitabaki na nani?)
nikitembea nawe yesu (eeeh)
nitakuwa salama
mkono wako utanivushaa (aaaah)
nikiwa ndani ya yesu
sipo kama wengine
sipo kama wengine
unanifanya wa tofauti
asante baba (eeeeh)
asante baba (eeeeh)
yesu uuu
asante baba ×2
aaaaa santee
nikitafakari njia zangu
nikitazama mapito yangu
nakuona wewe
baba nakuona weweee
nilidharaulika (sanaaa)
sikukubalika (oh sanaaa)
nilisahaulika
lakini we ulinik_mbuka (lakini we ulinikunbuka)
sina neno
uweponi mwako
mimi nasikia rahaa ×2
asante baba (eeeh)
asante baba (eeeeh)
yesu uuu
asante baba
asante baba
ni kwa mkono wako
umenivusha
كلمات أغنية عشوائية
- this ascension - ashes don't burn lyrics
- yummi4 & akkiru1 - шрамы (scars) lyrics
- jay wizt - quiero beber lyrics
- larynx (qc) - lumière d'espoir lyrics
- angel emilio - voy a vivir lyrics
- reaperlu - clout lyrics
- ant wan - dum lyrics
- jrworm & dj kamlet - one_life.wav lyrics
- dj rocka - quieren guaracha lyrics
- ruth - fear of flying lyrics