kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

arrow bwoy - mungu baba كلمات الأغنية

Loading...

hey mungu baba, kijana wako tena
ni mimi huyu mbele zako
nina mambo mengi ya kusema
oooh mungu baba, ni mtoto wako tena
ni mimi huyu mbele zako
nina mambo mengi ya kusema
ila, naanza na shukurani(shukurani)
vile umenijenga na mambo fulani(aha)
baraka tele(tele)
umenijazia sahani(aah aah)

thank you god for my family
thank you for beautiful fans
i pray they will never see calamity
no no no eeh
am so thankful
thankful yeah yeah yeah
am so grateful
grateful oooh, oooh
am so thankful
thankful yeah yeah yeah
am so grateful
am so grateful yeah
kila kitu naomba unanipa
kisha nikutoke, aje?
umenijenga kwa hali na mali
kesho nijichoche, aje?
aai nimeomba ukanipa
kеsha nikutoke, aje?
umenijеnga kwa afya na mali
kesho nikutoke
aje…nikutoke aje?
nikutoke aje?
mi si mtakatifu
everyday am a sinner eeh
kwa neema na fadhili zako
ukanipa uzima eeh
kwa maovu ninayotenda
still you made me a winner eeh
a winner, a winner winner
aii nik_mbushe nisisahau
nik_mbushe nisisahau(yeah yeah yeah)
acha nikupe shukurani
mi nikupe shukurani eeh
kila kitu naomba unanipa
kisha nikutoke, aje?
umenijenga kwa hali na mali
kesho nijichoche, aje?
aah nimeomba ukanipa
kesho nikutoke, aje?
umenijenga kwa afya na mali
kesho nikutoke
aje…nikutoke aje?
nikutoke aje?
kila kitu naomba unanipa
kisha nikutoke, aje?
umenijenga kwa hali na mali
kesho nijichoche, aje?
aii nimeomba ukanipa
kesho nikutoke, aje?
umenijenga kwa afya na mali
kesho nikutoke
aje…nikutoke aje?
nikutoke aje?

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...