
arrow bwoy - lotto كلمات أغنية
am gonna rock you body
ah me say rock your body
am gonna rock you body
yeah yeiii
leo nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
ata watuzimie taa
am gonna rock your body
hey baby washa mishumaa
baby washa mishumaa
siku ya mwisho kwa soko
milele nizikwe nawe
am not a window shopper anymore
a window shopper anymore
baraka zimeshuka
leo ni kuvunja mifupa
songea nikupake mafuta
kisha tukunje mashuka
leo nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
nimeapa for better for worse
i’ll be your king kong forever for worse
cheza chini no rush
i feel your kingdom tusichoke na safari
when i look in your eyes
i see fire
firе fire
you are the onе that i desire
aii, baraka zimeshuka
leo ni kuvunja mifupa
songea nikupake mafuta
kisha tukunje mashuka
leo nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
am gonna rock you body
ah me say rock your body
am gonna rock you body
aaaah ya moto
am gonna rock you body
ah me say rock your body
am gonna rock you body
aaaah ya moto
baraka zimeshuka
leo ni kuvunja mifupa
songea nikupake mafuta
kisha tukunje ma_ tukunje ma
leo nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
nakutoa kwa soko
nikiwa nawe nimeshinda lotto
kunja chuma ikiwa moto
aaaah ya moto
كلمات أغنية عشوائية
- arsenal - egun كلمات أغنية
- yvonne catterfeld - ich glaub an dich كلمات أغنية
- calle 13 - digo lo que pienso كلمات أغنية
- feat chip fu jedi mind tricks - chalice (feat. chip fu) - jedi mind tricks كلمات أغنية
- kaau crater boys - all i have to offer you is me كلمات أغنية
- ultravox - fall كلمات أغنية
- feat jovi rockwell and mr vegas major lazer - can't stop now (feat. jovi rockwell and mr. vegas) - major lazer كلمات أغنية
- lutricia mcneal - being with you كلمات أغنية
- pooh - questo sono io (live) كلمات أغنية
- old in the way - pig in a pen كلمات أغنية