arrow bwoy - hatua كلمات الأغنية
early in the morning
me bounce up when the sun rises
nimepiga hatua, namshukuru mungu asante
ah, if i don’t win it today
i lift up my hand for tomorrow roro
believe and achieve
leo niko chini kesho kwa godoro
cz i know a journey of a thousand
starts with a step
and i know it doesn’t matter
how big or smaller are the steps
niko safari bado sijafika(bado)
fitina roho chafu weka kando(bado)
wengi wanaimba ngoma zangu(bado)
lakini bado sijafika(bado)
niko safari bado sijafika(bado)
fitina roho chafu weka kando(bado)
wengi wanaimba ngoma zangu(bado)
lakini bado sijafika yeah yeah
everything will be fine
napiga moyo konde nakaza ngumu
sijiulizi mbona why why why
ju mitihani anapanga mungu
dem call me arrowbwoy
nikirusha zigo wananigwaya
niite love doctor
wanaitika nikikohoa, yeah yeah
rada nasafisha
juu kuna wengi wanachoma picha
ukiniomba picha
sina maringo njoo tupige picha
niko safari bado sijafika(bado)
fitina roho chafu weka kando(bado)
wengi wanaimba ngoma zangu(bado)
lakini bado sijafika(bado)
niko safari bado sijafika(bado)
fitina roho chafu weka kando(bado)
wengi wanaimba ngoma zangu(bado)
lakini bado sijafika yeah yeah
badooo wouwowowo, bado
mmmh bado aha, bado aha
arrow amejenga nyumba noma
bado, sijafika, bado
yeah yeah yeah
bado(aha), bado, bado
anaroll na ndae gani?
bado, sijafika, bado
no no no no
bado(aha), bado, bado
niko safari bado sijafika(bado)
fitina roho chafu weka kando(bado)
wengi wanaimba ngoma zangu(bado)
lakini bado sijafika(bado)
niko safari bado sijafika(bado)
fitina roho chafu weka kando(bado)
wengi wanaimba ngoma zangu(bado)
lakini bado sijafika yeah yeah
كلمات أغنية عشوائية
- rapsodie - sale journée كلمات الأغنية
- vicentico - las estrellas كلمات الأغنية
- vanness wu - 透.明.愛 (translucent.bright.love) كلمات الأغنية
- the game - shade 45 freestyle كلمات الأغنية
- dot l - this place كلمات الأغنية
- areafy - i was right كلمات الأغنية
- rapbenders - feelingood كلمات الأغنية
- julien doré - on attendra l'hiver كلمات الأغنية
- schote - #mot halbfinale hinrunde (vs. veedel kaztro) كلمات الأغنية
- para mocro - zonamo underground spitsessie ccxiii كلمات الأغنية