kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

annette kawira - ndege كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
utanik-mbuka wewe
utanik-mbuka wewe
utanik-mbuka wewe

verse 1:
ndege w-ngu
ametoweka tunduni
amepuruka mwituni

kila siku
nakungojea urudi
usifanye makusudi

chorus:
utannik-mbuka ndege siku moja (aaaaaaah)
hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (aaah)x3

verse 2:

jua mwituni
kuna wengi wawindaji
lakini mimi ndio mfugaji
ukirudi itakua mimi na wewe
jichunge na mwewe

aaaaaaah aaaaaaah aaaah
ooooh oooh uooooh
woo wooh uooooo
utaninik-mbuka ndege siku moja(aaaaah)
hatuwezi tena sisi kuwa pamoja
utaninik-mbuka ndege siku moja(aaaaah)
hatuwezi tena sisi kuwa pamoja
utaninik-mbuka ndege siku moja(aaaaah)
hatuwezi tena sisi kuwa pamoja

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...