kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

annette kawira & gaza - lala كلمات الأغنية

Loading...

vers 1:
giza lime ingia
mpenzi uko wapi
natamani uwe na mimi
nawe uko mbali
uuuuuuwoooo
uuuuuuwoooo

chorus:
unik-mbuke mimi (uki lala)
uniwaze mimi (uki lala)
unik-mbuke mimi (uki lala)
uniwaze mimi (uki lala)

vers 1:
penzi nakutamani
nione sura yako
picha yako iko kutani
naiona kila siku
uuuuuuwoooo
uuuuuuwoooo

chorus:
unik-mbuke mimi (uki lala)
uniwaze mimi (uki lala)
unik-mbuke mimi (uki lala)
uniwaze mimi (uki lala)

bridge:
kila niki lala mimi nakuwaza we, kuota we
kila niki lala mimi nakuwaza we, kuota we
kila niki lala mimi nakuona we, kuota we
kila niki lala mimi nakuona we, kuota we

chorus:
unik-mbuke mimi (uki lala)
uniwaze mimi (uki lala)
unik-mbuke mimi (uki lala)
uniwaze mimi (uki lala)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...