kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

angry panda clan - bogi benda كلمات الأغنية

Loading...

bogi benda
angry panda
under mickey
decimators
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda
bon eye
suti ni kaunda
mbosho na mabunda
zabe za kibanda
mastingo za kibuda
bogi bogi ni bogibenda
ni bogi benda kasha surrender
na kamebeba vile me huwaga napenda
na me nikikateka kejani tutaenda
ati kametoka ku lazima kata ko
mutura inafanya kachelewe
ju ni must aichill kachomewe
kanoru kameme
ka darkskin parlour makucha ni za panther
swirry nikashawa
si kachura ni kabata kan_z_toka
kama rhumba sakata kan_z_okota
si mkamba lakini ananibamba
akidai kunitoka ntakafunga na kamba
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda
chezesha mpaka dombolo
hizo biggy mawololo ndo napenda
cheki angolo utadhani bogi benda
naongeza token nakawasha kama tester
snapchat mafilter kuteka
hakuna mbrr vako dunda amekabeba
b_tch bad manners anataka nichafue meza
ameleta kiongozi kucheza
me hukua mavitu kila siku za calendar
utapata najituma na hakuna mahali naenda kw_ngu mapenzi biz
na magoshodo ni tender
nakapiga walenje kwa jegi kananipenda
ukinipata nko kakitu lazima jo ntakuwasha
nataka uniite chibu ju kw_ngu we ndo tanasha
wengi husema ni juju vile jo me huroga
napenda ukiwa juu napenda jo ukinigonya
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda
hapa ni shigidi shigidi utatii
kangoko kaki digidi digidi nampin
alafu nika wikidi kauniita daddy
ex w_ngu swezi diss ntamkiss animiss
hapa ni shigidi shigidi utatii
kangoko kaki digidi digidi nampin
alafu nika wikidi kauniita daddy
ex w_ngu swezi diss ntamkiss animiss
chu chuu
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda
niko ma steam nikaa jo nimekasunda
kangoko kakikam mateke jo ni za punda
alafu kamebeba vile me huwaga napenda
ni bogi benda ni bogi benda

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...