
andy mwag - rafiki badilika كلمات أغنية
Loading...
verse 1:
chuki ni mbaya
huleta fitina
penye riziki
hapakosi wivu
kama makini
wew
don’t trust n0body
don’t believe them
wa yuda ni wengi
ukitoka tu wana talk
masikio skia
mdumo w_ngu
kaa kimya
macho yangu
ona mbali eeeeh eeeee
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika (2fois)
verse 2:
waulimwengu
wana maneno mengi
ku ishi nao
kweli taabu
be careful ooh ndugu
rafiki mnafiki si rafiki
ukikosa tu anakukwepa
ukipata njo utamuona
be careful ooh ndugu
badiliiiiiiiiiiika
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika
كلمات أغنية عشوائية
- ninjaspy - out of tampons كلمات أغنية
- nitro - cat scratch fever كلمات أغنية
- ninnghizhidda - demigod كلمات أغنية
- no knife - if i could float كلمات أغنية
- niro - on our hill كلمات أغنية
- nneka - the uncomfortable truth كلمات أغنية
- no children - everything turns red كلمات أغنية
- nitin sawhney - dead man كلمات أغنية
- no kids - old iron gate كلمات أغنية
- niyorah - perfect timing كلمات أغنية