andy mburu - ananijali كلمات الأغنية
nimeomba
(i have prayed)
tena sio mara moja,
(and not just once)
kwa roho na kwa kweli,
(in spirit and in truth)
bali sij-pata,
(yet i have not received)
majibu yangu kuyaona,
(my answers to see)
adui, shetani mwongo,
(the enemy, satan the liar)
asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
(says that almighty god does not care for me)
bali, siwezi sitomkubali,
(yet, i cannot, i will not agree)
niyayo hakikisho, ya kweli ninajua,
(i am certain that truly i know).
ananijali (he cares for me)
sitokubali, kuzama kwenye maji,
(i will not agree to sink in the waters)
ananipenda (he loves me)
yeye ni mwema
(he is good)
ni za dunia, (earthly)
zangu hizi shida, (are my troubles)
hanitanizuia kukutumikia, (they won’t keep me from serving you)
nitafuata mimi hiyo njia, ya kweli na uzima,
(i will follow that way, of truth and life)
kwani, ulisema yote yamekwisha,
(for you said, it is all finished)
sitababaishwa, (i will not fret)
ninajua yatapita, (i know they will p-ss)
kwani, baada ya usiku giza, (for, after a dark night)
ninayo hakikisho, asubuhi itafika,
(i am certain that morning will arrive)
كلمات أغنية عشوائية
- quiet desperado - leonardo كلمات الأغنية
- sheik - op over grunden كلمات الأغنية
- miner - lovely كلمات الأغنية
- jeff le nerf - le preau te cause 2 كلمات الأغنية
- juicy j - who da neighbors (remix) كلمات الأغنية
- hammerfall - always all be كلمات الأغنية
- plumbo - tirsdag & torsdag كلمات الأغنية
- effy (russia) - outro كلمات الأغنية
- mumuzinho - te amo كلمات الأغنية
- opwekking - zing voor de heer (712) كلمات الأغنية