kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

andy lawn, 2geensofficial & braso typain - booty call كلمات الأغنية

Loading...

[chorus: yung lee]

kama ni biz nasetii
n_gga anatry run bila notice (aaah)
nashika hio call mechii
dame ako dry very

[verse 1: andy lawn]

minimal
caught my vibe, si digital
niko on point, ka’ libido
check my time, si minimal
pin hiyo location, signal
ready for drama, si typical
waki_copy, miih ndio original
kwa mechi na piga, kilibido (aaaah)
master kwa class, ni surgical
na k!ll the scene, inabaki ni clinical
mwas shuka na chrome, mwas shuka na best (aaaah)
ukini_trace down_down town, niko majani na sanif
niko na mbogi down_down town, follow the leader na mali
[verse 2: yung lee]

booty call, very first
mwas shuka na chrome, shuka na best
msupa akikam, itabidi amerush
beef ni kilo, you know the rest (aaah)
kila day ni weekendi worry about now, we aint stuck on a budget
kila day ni weekendi worry about now, we ain’t stuck on a budget. (aaaah)

[chorus: yung lee]

i got no time cheki
kama ni beef roasty
kama ni biz nasetii
n_gga anatry run bila notice (aaah)
nashika hio call mechii
dame ako dry vеry
panda hio uber panda bike
yoh sijali manoti (aaah)

[verse 3: braso typain]

one timе, two time , three time, buda asukii nilipigiwa tenje
kuna bash flani, mbogi imejaa, utadhani joh ni kambi
rada ni safi, mzee_ mzima ninafika kwa party
rada ni gane, kengima nilishikwa mashirty
tuko kwa compe, chunga bro usipigwe makonde
wasupa kwa context, haga ni biggy utadhani ni shonde
nafeel niko heaven, msupa_ flani _alikam, akiwa ndethe
up kwa sky, sauti flani ilitoka joh kaa ndege
yeah, room next tulikuwa tunacheza na content
yeah, champaign auskii imeshikwa na bombe
yeah,niliskia fiti vile nilikuwa nimepiga fiti
shimo ni shimo, sitaki kipimo, asante kwa shimo
haga ni bigi na bado sikwepi, ninacheki kaa mbulu
niko kwa zone na bado nazoza, hakuna makosa
kidole kwa g_spot , nilitrigger , msupa kaa gunshot
at the end, _rg_sm, tulimada kwa bed
[chorus: yung lee]

i got no time cheki
kama ni beef roasty
kama ni biz nasetii
n_gga anatry run bila notice (aaah)
nashika hio call mechii
dame ako dry very
panda hio uber panda bike
yoh sijali manoti (aaah)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...