kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ambwene mwasongwe - wewe ni mungu كلمات الأغنية

Loading...

wewe ni mungu, wewe ni mungu wewe ni mungu
utabaki kua mungu
wewe ni mungu, wewe ni mungu wewe ni mungu
utabaki kua mungu

katika safari ya maisha (oooh)
bila wewe bwana tusingeweza,
maisha yenyewe haya kama mvuke (eeeh)
tena yanyauka kama maua
ila wewe bwana ni wa kudumu sana
una historia ndefu ya kuishi,
unatujua wanadamu jinsi tulivyo
umetutoa mbali toka enzi hizo
umeishi na watu wakila namnaa oooh
unajua wapole na wakorofi eeh
bado utabaki kuitwa mungu
maana peke yako ni mtakatifu
ndio maana twasemaa usifiwe bwana
ndio maana twasemaa waastahili

wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu (aah)

mwanadamu akijigamba na kujivuna
hawajui yakwamba wewe ni mzee wa siku
sijui wanajivunia kitu gani
wakati miaka yao yote ni michache
ni bora wakarudi nyuma kwenye historia
watagundua kwamba unaozoefu wakutosha
mungu umewai kuishi na wakorofiii
walio utawala ulimwengu kwa kiburi na jeuri
lakini bado wewe ulibaki mungu mtakatifu
lakini bado wewe ulibaki mungu mwenye rehema
wako wapi leo wamepotea
walivojivunia hawako navyo
waamenyamaza kimya hawapo
ila wewe unadumu milele eeeh
mimi nitajipendekeza mbele zako
nipaate usalama wa roho yangu
kwasababu wewe mungu ni wa peke eeeh
ndio maana nasema utabaki kua mungu

wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu (aah)
wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu
wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu (aah)
wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu

nitakutafuta daima(daima)
nipate kukujua ulivo(ulivyo)
mpaka mwili w_ngu ubadilishwe na wewe
mpaka nafsi yangu iambatane na uwezo wako
nitatembea na wewe(na wewe)
nitakuishia milele(milele)
wewe ni mungu uliemtakatifu
wewe ni mungu mwenye kusifiwa
ayaa aya aaya

wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu (aah)
wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu

wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu (aah)
wewe ni mungu(aah), wewe ni mungu(aah) wewe ni mungu
utabaki kua mungu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...