kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ambwene mwasongwe - mungu wa ibada كلمات الأغنية

Loading...

wengi wamekusifia
wengi wamekuimbia
wengi wamekutolea bwana, sadaka na maombi mazuri na ibada

natamani nikusifu
natamani nikuimbie
nataka nikutolee ibada, sadaka na maombi hujawahi kuyasikia
la maneno yananipelea
na matendo yananikosa
yamepimwa kwenye mizani
yameeonekana ni mepesi
mawazo yangu hayatoshi
fikra zangu ni laini
hata niweze kukusifu
uketiye patakatifu
sasa naomba maneno na mawazo ya moyo w_ngu yapate kibali mbele zako
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewew ni wewe bwana
nimeshindwa kuhesabu
uliyofanya kw_ngu hayahesabiki
hakuna namba yeyote
inayoweza kupima wema wako kw_ngu
imetafuta kitu gani
nilivhoanza kukupa?
li unirudishie
nimegundua nilivyonavyo vyote
wewe mungu ndiwe ulianza kunipa kwanza
nikurudishie nini?
kwa ukarimu ulionitendea
nimejaribu kufanya vizuri
ili yamkini niwazidi wote ilaaa
nimetafuta sadaka nzuri nitoe
ibrahimu ameniwahi
nimetafuta moyo mzuri wa upole
moyo wa musa umenishinda
nimetefuta staili nzuri nivheze
daudi kacheza zote
sasa naomba maneno na mawazo ya moyo w_ngu yapate kibali mbele zako
sasa nimeshasogea
kwenye vilindi
vya moyo wa ibada
huko yanakosikika
maneno haijuzu mwanadamu kuyanena
la ninatetemeka
maana kiti chako
kina utukufu mwingi
na tena jina lako
unaitwa mungu wa yasiyowezekana
wewe waweza chota maji kwa wavu
tena waweza kuhifadhi giza nuruni
wewe waweza penda mlima
kwa baiskeli isiyo na mnyororo
wewe weweza piga mruzi
huku umefumba maji mdomoni
wewe waweza vunja jiwe kwa yai
waweza nasa chuma kwa kijiti
napata ugumu wa kukusifu
maana sifa hizi un_z_jua zote
sasa naomba maneno na mawazo ya moyo w_ngu yapate kibali mbele zako
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
ni wewewni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...