kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ambwene mwasongwe - enzi zile za elia كلمات الأغنية

Loading...

enzi zile za elia, israel waliasi walimwacha mungu wao
wakaabudu miungu, ulifanyika mkutano mkubwa
kati ya elia na manabii wa baari, ndipo elia akamtaja
mungu wake kwa ujasiri

(namjua) namjua (mungu w_ngu, yupo hai)
anaishi, (anaishi) mungu w_ngu
(amesema) mungu w_ngu, (nikimwita)
yeye (yeye ataitika) halelluya
(na ijulikane) na ijulikane leo
(yupo mungu) yupo mungu, yupo mungu wa elia
(atujibu) atujibuye (maombi) hata kwa njia ya moto

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...