kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alpha queen - najibamba كلمات الأغنية

Loading...

siku zaba za wiki
kazi iko kwa wingi
maisha ngumu si rahisi

mwili yangu haijihisi
hustling i got it from my mama
gasoline we burning till the morning
walisema mi siwezi
i love it when they messy
time to be
hakuna kusileki
up by three
kokoriko mashariki
itabidi kupambana
sina time ya madrama
naukipiga
mtenja wa nambari
siezi patikana
ungekuja jana
nakukuja jana ninamanisha
ilesiku nilikua nakuuliza
sina do g please fuliza
ulikua wapi nikiwa kwa giza
clout haiwezekani
with familia
coz they familia with who i am
find me in my pajamas
with my bwana
tukidi eh
why u gotta do me like that
ra ta ta ta ta
ra ta ta ta ta
ulikuwa wapi nikiwa kwa giza
pesa inafly sasa unajiuliza

ninajibamba…
ninanjibamba…
itabidi kupambana
sina time ya madrama

siku zaba za wiki
kazi iko kwa wingi
maisha ngumu si rahisi
mwili yangu haijihisi
siku zaba za wiki
kazi iko kwa wingi
maisha ngumu si rahisi
mwili yangu haijihisi

ninajibamba

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...