kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ally mahaba - ujitume كلمات الأغنية

Loading...

homesearchcountriesalbums

ujitume

ujitume lyrics
(atl music beiby)
(s.h.i.r.k.o shirko media)

mume w_ngu kama leo
huendi kibaruani tuonge
mi na wewe tuyaweke sawa
mambo yetu yaende

unasemaje baby? umenisikia
kwanza kaniletee begi, za wapi tena
nataka niwahi kule
usije kanichelewesha bure bure

kutoka kwako ni alfajiri(umelewa)
kurudi usiku siri siri(umechelewa)
humu tunaishi wawili
ama unaishi pekee yako

haya nakaa chini
unachomaanisha ndio nataka, nielewe
mi najuwa unataka tugombane umenichoka
yaani wewe

huku ulipo wewe mimi sipo
tumeelewana
kutwa madeni na huishi mikopo
mwanamume

inatosha, inatosha inatosha
(usiseme hivyo)
inatosha, inatosha inatosha
(usinifanye hivyo)

nataka ujitume(nitajituma)
wewe ndo mume(sawa mama)
maisha yasigume
bume ndio nitakuelewa

kuipata kazi sio rahisi mke w_ngu
maisha yapo kama ngazi
kuipanda mpaka atake mungu(naelewa)

kweli huwezi kupata chochote
mpaka akupatie mungu
bila juhudi zako je we utalipataje fungu?

unaniona mi kuwa sipendi kazi(sio kweli)
mimi ndio kichwa cha familia
kuhangaika popote mi niko radhi(nisifeli)
baby nitapata vumilia

si uende
uarabuni ukajaribu bahati yako mwenzangu
mazonge
ya viziuzi ubishi wako waovunja moyo w_ngu

huko hakuna lolote
pamoja na mihangaiko yao yote(ndio maana)
na ujanja wao wote
pesa wan_z_maliza madem zote(hapana)

basi kaa wewe nyumbani
nami nitoke nikahangaike
mwanamume unapenda ushindani
nami nifanyeje mtoto wa kike?

inatosha, inatosha inatosha
(usiseme hivyo)
inatosha, inatosha inatosha
(usinifanye hivyo)

nataka ujitume(nitajituma)
wewe ndo mume(sawa mama)
maisha yasigume
bume ndio nitakuelewa

inatosha, inatosha inatosha
(usiseme hivyo)
inatosha, inatosha inatosha
(usinifanye hivyo)

nataka ujitume(nitajituma)
wewe ndo mume(sawa mama)
maisha yasigume
bume ndio nitakuelewa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...