alikiba - zaidi yangu كلمات أغنية
[verse 1]
si unaelewa wazi mi ni kaka yako, so unapaswa ushike adabu yako
huyu ni shemeji yako, na mimi hapa ni kaka yako
soo, unaojifanya shababi wewee
wakati wewe ni mdogo w_ngu na huyu demu mi ni dem w_ngu
inshallah, jua mi namuachia mola
kwani yeye ndiye anayejua
anayepanga na kubomoa
inshallah, jua mi nimekulea
mikononi umenichafua
na nguo zako mi nimefua
[pre chorus]
je, nikufanyie nini wewe
mi ntakufanya nini wewe
wewee ndugu yangu
[chorus]
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s_xy body kama tuslim (zaidi yangu)
uzuri wako umenifunika (zaidi yangu)
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
na mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s_xy body kama kogi (zaidi yangu)
uzuri wako umenifunyeei
[hook]
aye (oh lalalila), oh lalila (ayee)
oh ayee (ayee, ndugu w_ngu)
noo ai, noo ai, ayee ndugu w_nguu
[verse 2]
long time mama mea mzito
kipindi kaka yako nilikuepo
wakati wewe mtoto hapo
uko tumbonii mwa mama yako
kwa dua nyingi niliomba
upate toka salama
leo unanitukana
lakini mimi namwachia mola
sura nzuri, watembea vizuri
unamaj mazuri unadrive mashary
au unataka shemeji zako wewe
kweli mapenzi hayana mwenyewe
we u ndugu wewe, ayee, ndugu w_ngu
wewee, ndugu w_nguu, wewe, kipenzi cha roho yangu
[pre_chorus]
so unajifanya shababi wewe
wakati wewe ni mdogo w_ngu
na huyu dem mi ni dem w_ngu
[chorus]
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s_xy body kama tuslim (zaidi yangu)
uzuri wako umenifunika (zaidi yangu)
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
na mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s_xy body kama ogi (zaidi yangu)
uzuri wako umenieei
[hook]
aye (oh lalalila), oh lalila (ayee)
oh ayee (ayee, ndugu w_ngu)
noo ai, noo ai, ayee ndugu w_nguu
كلمات أغنية عشوائية
- goapele - strong as glass كلمات أغنية
- young abdulleh - mulholland drive كلمات أغنية
- mobb deep - let's pop كلمات أغنية
- ill bill - 2013 كلمات أغنية
- insane clown posse - please don't hate me كلمات أغنية
- b l a c k i e... all caps, with spaces - lou dobbs on my knob كلمات أغنية
- potter payper - the mrs. كلمات أغنية
- rachun - teroris كلمات أغنية
- sinclaire (au) - headspace كلمات أغنية
- sue jae - young كلمات أغنية