kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alikiba - sikuoni كلمات أغنية

Loading...

[intro]
yeah… b.o.b shorobaro
oh haha (yeah) oh yeah

[verse 1 : bob junior & ranny]
nakuomba unanitosa wakati mimi sina kosa
elewa unanichosha, mamlaka nitoe posa
bila wewe siwezi uhai wa kazi gani
sina hali ya uzima, come on, rudi nyumbani
angalia mwenzako natokwa machozi ya damu
unanikatalia sababu mimi sio handsome
namiss utundu wako na miss pozi zako
na miss vitu vingi kw_ngu hakuna zaidi yako
mummie uh nilikupa ngazi ya juu
nilifahamu utatesa moyo w_ngu
majuk_mu nilishachoka kwako vikopa_kopa
njoo unipe mapenzi hah si unaogopa_ogopa

[chorus : alikiba]
alikiba mi nalia sikuoni mwenzio
sana nimevumilia aaah
nielewe mummy njoo
ukiniona nalia
naumia w_ngu moyo
na baridi naumia aah
nipe joto mummy njoo
alikiba mi nalia sikuoni mwenzio
sana nimevumilia aaah
nielewe mummy njoo
ukiniona nalia
naumia w_ngu moyo
na baridi naumia aah
nipe joto mummy njoo
[verse 2 : alikiba]
nikizungumzia mapenzi alright
nimzungumzia shetani wa mahaba
asiyependa k_muona alikiba
akiwa nawe milele mpaka kufa
lakini sikuonii hii
mimi nakutafuta mji mzima
nakutafuta hewani
nikipiga simu yako un_z_ma

[pre chorus : alikiba]
where are you mummy njoo?
nikudalike kidali poh
wasaka mmerahaa
basi njoo tucheze kombolela
wananicheka everyday nalia
hawajua ninacholilia
wanasema una hirizi ya haula
wananichek nikilia wacha nilieee

[chorus : alikiba]
alikiba mi nalia sikuoni mwenzio
sana nimevumilia aaah
nielewe mummy njoo
ukiniona nalia
naumia w_ngu moyo
na baridi naumia aah
nipe joto mummy njoo
alikiba mi nalia aah sikuoni mwenzio
sana nimevumilia aaah
nielewe mummy njoo
ukiniona nalia aah
naumia w_ngu moyo
na baridi naumia aah
nipe joto mummy njoo
[verse 3 : alikiba]
ni mazingira mengi wajua
ninavyohangaika na jua
kali la mchana lachoma
akili yangu yote ishanoa
ni kweli ukizungumzia mapenzi alright
wazungumzia shetani wa mahaba
ila kwa penzi lako walilinda
the way unavyofanya unaringa
lakini sikuoni mi nakutafuta mji mzima
nakutafuta hewani nikipiga simu yako umezima

[pre chorus : alikiba]
where are you mummy njoo?
nikudalike kidali poh
wasaka mmerahaa
basi njoo tucheze kombolela

[chorus]
alikiba mi nalia
alikiba mi nalia
sikuoni mwenzio
sana nimevumilia
nielewe mummy njoo oh, oh

[outro]
sikuoni mwenzio
alikiba, b.o.b, shorobaro

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...