alikiba - shamba كلمات الأغنية
asubuhi k_mekucha ali naamka
nakwenda shamba kutafuta matunda
good mornie sweety ye nakuaga bibie
nakwenda shamba chochote tutapata
tutakapo kosa leo mamii tuvumilie
uh ni mungu kapanda yote ni matokeo
ona unavumilia namshukuru mola
kote nimezunguka wewe ni mke bora
ona unavumilia namshukuru mola
kote nimezunguka wewe ni mke bora
we hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king′amo dunia mashindano
we hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king’amo dunia mashindano
mumeo narejea
hali yangu si waiona
wakati nakwenda
ajali nilipata
ile njia panda nilipita
alinivamia simba
na watu wakaja pale kuniokoa
walinipeleka hospitali ya wilaya
matibabu nilipata ah
na sasa nimetoka
hali yako mjamzito
usijepatwa msh_tuko
dunia ni king′amo
dunia mashindano
hali yako mjamzito
usijepatwa msh_tuko
dunia ni king’amo
dunia mashindano
we hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king’amo dunia mashindano
hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king′amo dunia mashindano
(yote ni matokeo)
ona unavumilia namshukuru mola
kote nimezunguka wewe ni mke bora
ona unavumilia namshukuru mola
kote nimezunguka wewe ni mke bora
we hivyo vyote maa (we hivyo vyote maa)
ulivyo nakupendaga daaa
dunia ni king′amoaaa
jua milele niwe nawe
nishakutia medani ya chuma
we hivyo vyote maa
nakupendaga
dunia ni king’amo dunia mashindano
ni kingamo mchumba
kila mtu na yake
na mila yake mamaa
duniani kingambo!
we hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king′amo dunia mashindano
hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king’amo dunia mashindano
كلمات أغنية عشوائية
- modest mussorgsky - song of the flea كلمات الأغنية
- lil fendi (ny) - metro boomin كلمات الأغنية
- gruppo tredici (weed carrier & dennis) - corro corro كلمات الأغنية
- tim burgess - hours كلمات الأغنية
- matt cox - palace of the sun كلمات الأغنية
- s god - like a motherfucker كلمات الأغنية
- bardero$ - noche كلمات الأغنية
- formula 3 - sognando e risognando كلمات الأغنية
- ivan [by] - help you fly كلمات الأغنية
- daymeus - i'm okay (if you are) كلمات الأغنية