alikiba - macmuga كلمات أغنية
[verse 1]
mchizi wa bongo mac muga
yuko single sana mac muga
ukimwona kutwa akijinamia
kwa sababu ya maisha yamchanganya
long time mambo alizamia
na kwenda kusini mwa africa
huku pia akimchanua
kwa sababu ya maisha aliyofuma
alikuwa maarufu sana
akajiona yeye ndo winner
full kujichanganya na wasichana
club zote za huko kujulikana
[hook]
wewe mac muga
wewe wewe mac muga
ah, hii dunia
mac muga huruma!
[chorus]
mungusha athumani alipofika south africa
alikuwa na maisha bomba
ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
magari na kubwa nyumba
mungusha athumani alipofika south africa
alikuwa na maisha bomba
ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
magari na kubwa nyumba
[verse 2]
ona sasa amesharejea
hajui wapi ataanzia
hakuna kazi kutwa akajinamia
mac muga hii ni dunia
maisha alichezea
gari ya kutembelea
shida walimwelezea wasichana
na shida zao akawatatulia
hivi upewe nini mac muga
mungu akupe nini mac muga
nymba ulijijengea, full kuchanua
wewe ndio wewe, wengine fala
wewe, mac muga
mbona sasa umeshatibua
south africa wamekutimua
na sasa home usharеjea
wewe mac
[hook]
mungu akupе nini mac muga
ah, hii dunia
mac muga huruma
[chorus]
mungu si athumani alipofika south africa
alikuwa na maisha bomba
ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
magari na kubwa nyumba
mungu si athumani alipofika south africa
alikuwa na maisha bomba
ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
magari na kubwa nyumba
[verse 3]
ona sasa amesharejea
hajui wapi ataanzia
hakuna kazi kutwa akajinamia
mac muga hii ni dunia
yikes kana huoni kwa mac muga
roho inauma huruma kanyongo’nyea
afanye nini sasa cha kufanya
kila anachachofanya anaona anakosea
yikes kama huoni kwa mac muga
roho inauma huruma kanyongo’nyea
afanye nini sasa cha kufanya
kila anachachofanya anaona anakosea
akiwa jambazi gerezani ataishia
akiwa mwizi anaona atauliwa
akifikiria kujiua nafsi basi _n_lia
[bridge]
wewe mac muga
mungu akupe nini mac muga
aai ni dunia
mac muga huruma
wewe mac muga
mungu akupe nini mac muga
oooh my, dunia mac muga noma
mungu akupe ni mac muga
aaaaah
[outro]
mac muga noma
mac muga noma (ooooh)
baucha records, kuita maisha raha
kuna kupanda na kushuka bana mmmh
eeyoooo (eeyoooo), mac muga noma ooooh
كلمات أغنية عشوائية
- dzsúdló - para كلمات أغنية
- bronze whale - good enough كلمات أغنية
- souldia & tizzo - sang voix كلمات أغنية
- raeboomer - mad's song كلمات أغنية
- johnny darker - in the dark كلمات أغنية
- aöme - seul à seul كلمات أغنية
- cashmoneyap & rory fresco - tornado كلمات أغنية
- nony1 - nony for president كلمات أغنية
- ynz_traphouse - marlboro كلمات أغنية
- stevie gox - slow and steady كلمات أغنية