kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alikiba - chibaba كلمات الأغنية

Loading...

intro
yeah!
o. righty
ah, ah
ah, ah
ah, ah
eh, mama
yeah, mama
verse
mwenye sura ya makokoto
k_mpata ni protocol
kamejawa na madeko
ah, kana madeko
ah, kwa kuringa kanaringa
kana mambo ya kitoto, toto
mwezenu mi’ ndio napenda
ugonjwa w_ngu mi’ napenda
pre_chorus
kakicheka mi’ nalia
jama kananivutia
mali yangu ikijaliwa
mi’ nitachanganyikiwa
kakicheka mi’ nalia
mi’ nalia kananivutia
mali yangu ikijaliwa
mi’ nitachanganyikiwa
chorus
(ah, oh, nana, nana)
bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(ah, oh, nana, nana)
mali yake, roho safi, oh_oh
(ah, oh, nana, nana)
safi, oh
bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(ah, oh, nana, nana)
mali yake, roho safi, oh_oh
roho safi, oh
hook
(chibaba)
(chibaba)
verse
mm_mm, mm
akaanza niita chibaba, chibaba, oh, chibaba
nami namwita chimama, chimama wa mboga saba
wa moto, oh
shape, jicho, mpaka shingo
yaani dah mashallah
sitaki tena kuwa single, oh_oh
pre_chorus
kakicheka mi’ nalia
jama kananivutia
mali yangu ikijaliwa
mi’ nitachanganyikiwa
kakicheka mi’ nalia
mi’ nalia kananivutia
mali yangu ikijaliwa
mi’ nitachanganyikiwa
chorus
(ah, oh, nana, nana)
bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(ah, oh, nana, nana)
mali yake, roho safi, oh_oh
(ah, oh, nana, nana)
safi, oh
bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(ah, oh, nana, nana)
mali yake, roho safi, oh_oh
roho safi, oh
outro
yup!
(ah!)
(chibaba)
chibaba

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...