kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alice otieno - tulia lyrics

Loading...

tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah

tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia

nivigumu anajua

tumezoea kujitumainia

lakini nguvu zetu

haziwezi tosha

vita vyetu si vya dunia

ye hataki hela

hataki mwenye cheo

ni wewe tu k_muaminia

atakuponya atakulinda

atakuonyesha ye astahili sifa

moyo w_ngu tulia

usichoke tulia

anafika tulia

atakushika tulia

moyo w_ngu tulia

amani yake ipo sasa

na yeye anaweza

imani paza sauti

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...