kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alice kimanzi - usifiwe كلمات الأغنية

Loading...

vese 1:
wewe ni mwema, wewe ni mwema
mungu, wewe ni mwema

juu yako, hakuna mwingine
wewe ni mwema, usifiwe

wewe waweza, wewe waweza
mungu waweza
juu yako hakuna mwingine
wewe waweza, usifiwe

usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe

wewe mshindi, wewe mshindi
mungu, wewe mshindi
wakati wa vita, wanipa ushindi
wewe mshindi, usifiwe

wewe watosha, wewe watosha
mungu, wewe watosha
wanitosheleza na sitaki mwingine
wewe watosha, usifiwe

usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe

uhimidiwe, mungu wa miungu
wewe mwenye nguvu
mungu mkarimu
uhimidiwe, mungu wa miungu
wewe mwenye nguvu
milele amina

usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe
usifiwe, usifiwe

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...