kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba - yalaiti كلمات الأغنية

Loading...

intro

yeaaap

verse:alikiba

naona raha, kukuona aah nafsi yangu inafurahika

majeraha nimeshapona aah hivi sasa moyo w_ngu

umehimarika aah maana umenituliza hayuni iii

kwa raha zako na sazaa, sijui niseme nini iii

napewa vya kila ladha, oooh nikeshe na wewe

tukiambizana, nikeshe na wewe tukiliwazana

nikeshe na wewe tukiambizana nikeshe na wewe

tukiliwazana

chorus: alikiba

yalaiti “yooh”yalaiti yalaitii yalaiti “yalaiti ningejua mapema”
yalaiti “aaah”yalaiti yalaitii yalaiti “yalaiti ningejua mapema”

instrumental

aaah ooah aaah aaaaaih yalaaiti yalaa aaah

verse:sabah salum

siri yangu yako wewe, siri yako yangu mimi

mwili w_ngu wako wewe, mwili wako w_ngu mimi

amina rabbi amina mimi kwako hali sina umenizidi

hekima mi nasitirika, nikeshe na wewe

tukiambizana, nikeshe na wewe tukiliwazana

nikeshe na wewe tukiambizana nikeshe na wewe

tukiliwazana

chorus: alikiba & sabah salum

yalaiti “oooh”yalaiti yalaitii “yalaiti ningejua mapema”

yalaiti “oooh aah”yalaiti yalaiti mmh yalaiti “yalaiti ningejua mapema”

bridge:alikiba & sabah salum

amina rabbi amina mimi kwako hali sina umenizidi

hekima mi nasitirika

oooah amina rabbi amina mimi kwako siri sina umenizidi

hekima mi nasitirika aaah……….

outro:

instrumental

the mix k!ller

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...