
ali kiba - utu كلمات أغنية
(yogo on the beats…)
you sweet like a pipi mama
i can fight, i can k!ll someone for you
because i’m in a danger zone, oh no
this feeling feeling that am feeling
is too much
i see future
life with you is so brighter
nakupenda sana you know that
i will die for you
oooh sweetheart
life with you is so sweeter
nakupenda sana you know that
nakupenda sana you know that yeah
na hakuna kipya kwenye dunia, oh my love
we ndo maana tamaa n_z_zuia, oh my love
natupa maelfu kwa mamia, in this world
ila we pekee nimekuchagua
i swear to god
na umebarikiwa utu na utulivu
umebarikiwa utu na utulivu
licha ya upole na uzuri
una utu na utulivu
umebarikiwa utu na utulivu
siku zote maumivu maumivu
yapo kutufunza
tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
huko nyuma huk_mu huk_mu, zilishanik_mba
kwa mateso ya kung’ang’ania kupenda usipopendwa
nilifosi kujificha kule, k_mbe chaka langu ni hapa
sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipaka
ananikanda huko mabеgani ananishika na hapa
massage mgongoni yananilevya makopa
na hakuna kipya kwenyе dunia, oh my love
we ndo maana tamaa n_z_zuia, oh my love
natupa maelfu kwa mamia, in this world
ila we pekee nimekuchagua
i swear to god
na umebarikiwa utu na utulivu
umebarikiwa utu na utulivu
licha ya upole na uzuri
una utu na utulivu
umebarikiwa utu na utulivu
aah namwona yeye, _n_lia lia anapokuwa
aah namwona yeye, akiniacha ananiombea dua
aah namwona yeye, _n_lia lia anapokuwa
aah namwona yeye, akiniacha ananiombea dua
كلمات أغنية عشوائية
- helpquixi - blood كلمات أغنية
- frwrdslsh - worse كلمات أغنية
- truth (ccm) - let go كلمات أغنية
- genie midas - her0 كلمات أغنية
- kaen - zbyt wiele 2 كلمات أغنية
- ivan paiva - quando eu bebo, eu não sonho كلمات أغنية
- kot persik - омут (whirlpool) كلمات أغنية
- nayg - dangerous كلمات أغنية
- zxtr - decay كلمات أغنية
- amber ryann - another one كلمات أغنية