kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba - sitaki tena كلمات الأغنية

Loading...

yogo on the beats)
umenitesa roho ni kweli sio masihara
kutwa nahuzunika lole
nikawa kama fala (nikawa kama fala)
nilijipa moyo, mbona nitafuna?
miezi donda ndugu kw_ngu sugu
kufutika never

sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana

nasema sitaki tena, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena, tena

sasa umeona, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena
(oh sitaki tena, oh sitaki tena)
kama unanishow, mapenzi toka china
tena una mengi majina, eti love designer
wanakuita designer, unavyojua kushona
unavyoringa kama nyuzi ya shanga
kutikisa nyonga

sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana

nasеma sitaki tena, tena
mi sitaki tena, tеna
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena, tena

sasa umeona, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena (oh sitaki tena, sitaki tena)

sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
nasema sitaki tena, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena, tena

sasa umeona, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena (oh sitaki tena, sitaki tena)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...