kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba - ndombolo كلمات الأغنية

Loading...

asa mambo bado, king’s iko gado
cheza utavyo, mashuti kama ronaldo
wenye kulewa wapo kwado, mziki upo kwa rohoo
najionaga komando ukonga sasa ipo juu

we unachezaje (ndombolo)
inama inuka (ndombolo)
usivunje mgogongo (ndombolo)

ndo ndo (ndombolo)
ndombolo ya solo
kwani we unachezaje
hii ngoma hamkai

oh mamaamm anachea ndombolo
tena kainama, itatoka tomorrow
domo zito mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
nabwabwaja (nabwabwaja)
mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
domo zito mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
mimi nabwabwaja (nabwabwaja)

we unachezaje (ndombolo)
inama inuka (ndombolo)
usivunje mgogongo (ndombolo)
ndo ndo (ndombolo)
ndombolo ya solo
kwani we unachezaje
hii ngoma hamkai

baby you my girl, oh baby youre girl
baby nipe more nilishaojeshwa nipe more
wanirusha roho, umeshinda ume_win ee
unipa uchoki najiuliza wewe mtu au mashinee

we unachezaje (ndombolo)
inama inuka (ndombolo)
usivunje mgogongo (ndombolo)

ndo ndo (ndombolo)
ndombolo ya solo
kwani we unachezaje
toa umandee
hii ngoma hamkai

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...