
ali kiba - nahodha (acoustic) كلمات أغنية
[intro]
yo!
yeah, baba
(instrumentals)
na_na_na
na_na, na_na, na
na_na
ma feeling make it
na_na, na_na, na
[verse 1]
najiona wa ajabu, eh
nikijitazama
hivi naota, ah
ama nachanganyikiwa?
joto nalo la shuka digiri
waliniliza tbt
na moyo w_ngu nishakupa na’
[chorus]
na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge [?]
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post_chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
oh, ah
[bridge]
na_na_na
na_na, na_na, na
na_na
na_na, na_na, na
(ah!)
[verse 2]
kama mapenzi ni jihad
tuko peponi
kwa jinsi tulivyo pambana na hali, ‘yetu rohoni
kuna vijibe vya nafsi ya wale waroho, oh, waroho
wanaosubiri tuachane hata kesho
sisi bado
[pre_chorus]
sisi bado (na_na_na, na_na, na_na, na)
oh, oh, oh
oh, sisi bado (na_na_na, na_na, na_na, na)
kuachana sisi bado
sisi bado, woah, woah, oh, wah
sisi bado, woah, woah
[chorus]
kwani na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge [?]
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post_chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
oh, ah
[bridge]
na_na_na
na_na, na_na, na
na_na
na_na, na_na, na
[outro]
na_na_na
na_na, na_na, na
na_na
na_na, na_na, na
كلمات أغنية عشوائية
- matiasenchufe - como una flor كلمات أغنية
- замай (zamay) - ☦аутролли☦ (outrolls) كلمات أغنية
- mango band - clubratz كلمات أغنية
- darling gails - innocent كلمات أغنية
- d'mixmasters - left and right (fitness version 128 bpm) كلمات أغنية
- июлав (1yluv) - вселенная (universe) كلمات أغنية
- reigning sound - so goes love كلمات أغنية
- 350 - mountains pt. 2 كلمات أغنية
- jul - la chabrand كلمات أغنية
- the whispers - needle in haystack كلمات أغنية