kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba - nagharamia كلمات أغنية

Loading...

[intro]
maa_aah (yeah!)
ma eh, ma_ah iyee

[verse 1 : christian bella]
ukimwona, kapendeza
si utafikiri katokea mbinguni
ni mtoto mkali, kaumbika mama (mama eeh)
nahisi kama nishawahi k_muona
kafanana na nani? kwani ni nani?
demu fulani, kama namjua
kafanana na nani? kwani ni nani iyee
demu fulani, kama namjua

[hook : christian bella]
kiba we we we we (yeyeye iyee)
ali we yeyeyeye (iyee, kama namjua)
kiba we we we wee unamjua huyu demu
de_de_de_demu, de_de_de_demu deeh

[bridge : alikiba]
iye_ye_ye_ye (iye)
iye_ye_ye_ye (iye)
iye_ye_ye_ye (iye) iyee iye
iye_ye_ye_yeee
iyee yooh iye ooh_oooh
[verse 2 : alikiba]
namuona tu, kasura kazuri
ni binti fulani ye
marashi mazuli na gari kali eh
ni kweli, amependezaa
kama ni hurulaini
mimi ni demu w_ngu huyo (ninagharamia)
kweli ampendezaa
hurulaini iyee
demu w_ngu wewe (ninagharamia)

[hook : alikiba]
bella we_we_we_we ooh (iyee)
kwani vipi we_wee
(ninagharamia)
bella we_we_we_we unamjua huyu dem
(de_de_de_dem)
(de_de_de_dem)

[verse 3 : christian bella & alikiba ]
oh no no nashindwa kuvumilia
huyu mtoto kanipagawisha
kila nikikutana naye
moyo w_ngu una dunda dunda
nataka tu kujuana naye
awe kama rafiki w_ngu
labda moyo w_ngu itatulia tuliiia
bella siachi raha kwa ubishi
na mvumilivu hula mbivu ooh
nishamaliza ngombe nzima
kabaki mkia huyo
oh ma’ azali, ma’ azalii
ma’ azali mwa si kitoko
myifo balula ye
oya zali na bote naye
azali mwa si kitoko (kuteka na ngai ye)
meifo balula yeye (mwasi na ngai ye)
oye zali na mutema yeye (na lingio lingio)
ngana sengi tobina mama
[chorus 2 : christian bella & alikiba ]
katee, katee (kate)
katika kata (kata)
kate katee (yako kata loketo mama )
yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka)
katee katee (kate)
katika kata (kate)
kate katee (yako kata loketo)
yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka)
katee katee (kate)
katika kata (kata)
kate katee (yako kata loketo mama)
yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka)
katee katee (kate)
katika kata (kate)
kate katee (yako kata loketo)
yaka katika, yaka katika
(yaka tobina mabina mboka)

[outro]
aah_aah
mabina mboka
yako kata loketo
mama ah_ahh
iye iye iye iye (iye)
iye_yoo_ooh
iye_oh_ooh

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...