ali kiba - mwambie sina كلمات الأغنية
nafsi inalalama sina mwambiee
kila akinitazama kwa kina kiukweli
mwambiee silali tena ananipa tabuu
kwake me sina halii ninampenda yeye tuu
oohhhoo… sinaa aah
sinaa aah sina mwambie
yeh ndo dawa ya (dawaaa)
sinaaa (dawaa)
sinaa aaaah sina mwambie ooohho
mwambie sinaa
wa kutamba naye (sina mie)
mwanbie sinaa
wa kuringa naye (sina mie)
mwanbie sinaaaa
wa kutamba naye (sina mie)
mwambie sinaaa
wa kuringa naye (sina mie)
kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
kama nyumba me nimpatie iye yeh (me nitambue)
kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
nenda umwambie mimi sina oooh
wak_mpa siri zangu anitunzi moyo
tena umwambie mimi nipo hoi
me nampenda haiyo iyo iyooh
nimependa heshima
atulie nimueke ndani
kanichapa usindwa
kanifunga ndomo siachani
kuona napata shida
moyo wayoyoma
mammy yoyoo mammy yoyoo … (wa kutamba naye)
mwambie sinaaa
wa kutamba naye (sina mie)
mwambie sinaaa
wa kuringa naye (sina mie)
mwambie sinaaa
wa kutamba naye (sina mie)
mwambie sinaaa
wa kuringa naye (sina mie)
kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
ona me nakosa rahaa
amani sina
sinaa nachotaka
wewe ndo wa pekee
skendo nitende vipi
wabongo wamtangaze
wanasema unadanga
kw_ngu ni danga chee
yaani nikope pe chee chee
alo aloloo kama madebee
madebe madebe madebee
kama madebe madebe
madebe madebe
badariii mimi nawee
badariii badariii ooh
badari badarii mimi nawee
badariii tutaonana
mwambie sinaaa
wa kutamba naye (sina mie)
mwambie sinaaa
wa kuringa naye (sina mie)
mwambie sinaaa
wa kutamba naye (sina mie)
mwambie sinaaa
wa kuringa naye (sina mie)
kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
mwambie sinaa
wa kutamba naye
mwambie sina
wa kuringa naye
mwambie sinaa
wa kutamba naye
mwambie sina
wa kuringa naye
kama gari me nimpatie iye iee
kama njumba me nimpatie yee iee
kama gari me nimpatie iye iee
kama njumba me nimpatie yee iee
kama gari me nimpatie iye iee
kama njumba me nimpatie yee iee
wa katamba nayeee
كلمات أغنية عشوائية
- don joe - spaccato كلمات الأغنية
- isaiah farmer - '02 ludachris (feat. sxvij, grezzzo) [no time ll] كلمات الأغنية
- tammie brown - schubert كلمات الأغنية
- era flower power - ethan كلمات الأغنية
- andrew jackson (texas) - mission control كلمات الأغنية
- jeremiah daly - my darlin rose كلمات الأغنية
- morgan willis - back to the start كلمات الأغنية
- trippy hippy - rack glow كلمات الأغنية
- batuflex - bentley كلمات الأغنية
- cris strife - guts كلمات الأغنية