ali kiba - maumivu per day كلمات أغنية
verse 1]
kwa ile imani ya enzi za kale
mi nliamini ntakufa nawe
ila mimi sikulaumu wewe
kwani mungu ndo apangayee
yale yote ya zama za kalee
mi nilipanga kuishi na wewe
mwenye hali nsiye na mali
wenye mali wakawa na wewee
hukunificha matendo yako
machafu uliniacha nione
bila kujua yalisaidiaa
nikazoea ila nikaumiaa
[pre chorus]
sababu bado nakuhitajii
kw_ngu muhimu ni kama maji
cha ajabu bado nakuhitaji
atayekutenda njo kw_ngu mimi
[chorus]
yani maumivu per day (yani maumivu per day)
yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
yani maumivu per day (kichwa mawazo everyday)
yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
yani maumivu per day (yani maumivu everyday)
yani maumivu per day (oohoo)
[verse 3]
uko moyoni mw_ngu we evеryday
bado namwomba mungu everyday
uko moyoni mw_ngu we еveryday
everyday ever everyday
nsikuwaze wewe niwaze mengine
labda ntakuja penda mwingine
ninavyopata tabu ya dunia
na mwili w_ngu umekwisha pia
yote malipo ya kupendaa
anayependa mwisho atatendwaa
[pre chorus]
sababu bado nakuhitajii
kw_ngu muhimu ni kama maji
cha ajabu bado nakuhitaji
atayekutenda njo kw_ngu mimi
[chorus]
yani maumivu per day (yani maumivu per day)
yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
yani maumivu per day (kichwa mawazo everyday)
yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
yani maumivu per day (yani maumivu everyday)
yani maumivu per day (oohoo)
كلمات أغنية عشوائية
- public service broadcasting - arabian flight كلمات أغنية
- momi (aus) - timelines كلمات أغنية
- عمرو دياب - a’al fakrenek - قال فاكرينك - amr diab كلمات أغنية
- los mox! - menos bla bla y más glu glu كلمات أغنية
- maruja (uk) - break the tension كلمات أغنية
- conor matthews - i smoke كلمات أغنية
- el virtual - hachís كلمات أغنية
- drunk mate - киборг (cyborg) كلمات أغنية
- suisei - mr. worldwide كلمات أغنية
- dama (bel) - keys كلمات أغنية