
ali kiba - mahaba كلمات أغنية
sikuhizi hakuna mahaba yeh! mahaba
mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha
ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha
nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa
uchungu wakulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k_mbuk_mbu hile kwamba ulinikosha noo!
uchungu wakulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k_mbuk_mbu hile kwamba ulinitosha noo!
mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefuf_ka yeh!
mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa nimefuf_ka yeeh
sikiliza kwanza we mdada we mdada
mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha
natamani kua single ila nnaupwil unanikaba kooh
mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho
na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile
mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh
na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile
mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh!
mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefuf_ka yeh!
mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa nimefuf_ka yeeh
كلمات أغنية عشوائية
- tribal seeds - rude girl (live) كلمات أغنية
- lil sophy - bleeding soul كلمات أغنية
- thebreathingbackwards - no bad days كلمات أغنية
- guild of ages - find my way كلمات أغنية
- :papille gustative - creep كلمات أغنية
- hariharan and swarnalatha - hai rama كلمات أغنية
- flippy 19xx - akihabara cruise كلمات أغنية
- ness heads - monsoon كلمات أغنية
- dotcom vibez - jungle scars كلمات أغنية
- neotyró x - wishful thinkin' كلمات أغنية