ali kiba - kheri كلمات الأغنية
[intro]
oh, yeah no
mmm
yo!
mocco
[verse 1]
mi sinaga kulipiza
[?] hiyo
(woh! [?] hiyo, hiyo)
kupenda kupitiliza
you know that is true
ah, kukupata miujiza
baby you, girl
umenituliza roho, oh
(umenituliza)
[pre_chorus]
ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
moyoni nimekuamishia, ‘kaa pekee yako
toka zamani ningekujua
ningekuwa wako
moyoni nimekususia, ‘kaa pekee yako
[chorus]
kheri
(oh)
kujuana nawe, baby
(oh)
ooh, ooh
ah
ma, kheri
(oh, oh…)
kujuana nawe, baby oh
(baby)
baby, yeah
(baby)
[verse 2]
kanikamata kwenye koo
oh, ananiliwaza kwa roho
(kwa roho, kwa roho)
oh, mahaba shikamoo, ooh
oh, yamenilemaza kwa roho
roho
ooh, oh, ooh, oh
[bridge]
she’s my darling
she’s my darling
she’s my darling, yeah
mtoto mzuri na show, show hatari
show hatari
show hatari
(yeah)
[pre_chorus]
ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
moyoni nimekuamishia, ‘kaa pekee yako
toka zamani ningekujua
ningekuwa wako
moyoni nimekususia, ‘kaa pekee yako
[chorus]
kheri
(oh)
kujuana nawe, baby
(oh)
ooh, ooh
ah
ma, kheri
(oh, oh…)
kujuana nawe, baby oh
(baby)
baby, yeah
(baby)
[outro]
kheri
khe_khe_kheri
the mix k!ller
khe_khe_kheri
كلمات أغنية عشوائية
- datealyfe✞ - trembling! (happy ending) كلمات الأغنية
- anbu gang - we gaan كلمات الأغنية
- headhunter - signs of insanity كلمات الأغنية
- angélica - palco كلمات الأغنية
- segev - שגב - tight shit - טייט שיט كلمات الأغنية
- ravages - renaissance كلمات الأغنية
- inno thakid - phone luv كلمات الأغنية
- fix dot'm - animals كلمات الأغنية
- the nields - taxi girl كلمات الأغنية
- shrimp - ass eater freestyle كلمات الأغنية