kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba – hela كلمات اغاني

Loading...

hela hela… hela hela…
hela unatutesa pia

tatizo lako aliekuumba
ni binadamu angekuumba mungu wewe
usingenipotea tena sana ningeomba
niweze kukoa uwe w_ngu moja kwa moja hela
nisha beba takataka
nipate kula nikikupata unatoroka
hela
mbona labda masikini
wakikupata wakisha kula
unatoroka hela

hela hela ( hela..)
hela hela, hela, hela hela…
hela hela, hela, hela hela…
hela unatutesa sana

na wananchi w_n_lalamika
unapendelea wana siasa hela
wanayonywa haki zao
na wenye nguvu
aliyewapa jon kio hela
na machinga nao pia
wananyanyasika sababu yako wewe hela
kwa wagonjwa hospital
bila rushwa hawatibiwi vizuri
hela hela (hela..)
hela hela hela hela (hela..)
hela hela hela hela
hela unatutesa sana
hela hela, hela hela
hela hela, hela hela

wewe wako matajiri
ndo maswaiba zako
(hela unatutesa sana)
nenda ukae na mayatima
wapate faraja aaaja aaaja…
kwani nani asiependa (kujinafasi)
nani asiependa (kujinafasi)
nani asiependa
kuwa na wewe hela

kuna wajane wasiojiweza
walemavu mpaka ali k
hela hela, hela hela
hela hela, hela hela
hela hela, hela hela
hela hela, hela hela
yeah

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...