kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba - hatari lyrics

Loading...

[intro]
yo!
yeah
je t’aime
jimmy x66
[?]

[verse 1: alikiba]
umeni_corruptisha
nilikuwa na ma presha, duh
alinidhalilisha
aliniacha hadharani, hadharani
ninge aga maisha
nilishafikia kikomo
ukanikaribisha ‘kabisa, ukani_adaptisha

[verse 2: alikiba]
umenipendezesha
ukaning’arisha
wachana na yule mbwa mwanzoni
aliye nikondesha
uso ulijawa na vishimo
nikapoteza muonekano
nikaonekana ka kituko
k_mbe yaliyomo yamo, oh
na bado
[pre_chorus: alikiba]
(na bado)
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho
(na bado)
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho

[chorus: both]
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
[bridge: jay melody]
oh, woah, oh
oh, woah, oh
wananiita jay
jay once again

[verse 3: jay melody]
another day mimi naye
tuko nyumbani
tunakula chapati na visupu
usiombe akiniita honey
tunaanza vurugu, usumbufu
maumivu sijuagi
ye ndio anayenipa furaha
na wala siteseki
niko angani juu ‘na paa
acheni ‘penzi letu listawi
hamjui alivyo nishika
hatakama akienda mbali
k_mfata hiyo nitalazimika
huu moto

[pre_chorus: jay melody]
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho
[post_chorus: alikiba & jay melody]
hatari, (wueh!)
hatari
hatari
hatari, (ulala)
hatari, (ule)
hatari, (ooh, yo)
hatari, (ooh, yeah)
hatari, (hatari)
hatari, (hatari)
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi

[outro: jay melody]
ooh, loh, loh, loh…
mmm
ooh, nah, no, no…
ooh…
(instrumentals)
music

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...