
ali kiba - habibty كلمات أغنية
(yogo on the…)
sijawai kuwa muongo
sijawai kuwa fyongo
dhambi bure za nini?
twarudi kwa udongo
oh baby, my cherie cherie
hunijaza maji mbili
hakuna mapenzi ya watatu
unakwama wapi unafeli
ni wivu gani au ni kitu gani
hatuelewani lolote
kwani kisirani niko mashakani
na date vipi hawa wote
endapo hunifuati
hio namba ikiliko ikate
wengi wananimezea mate
ooh mi ndio baby yako pekee
aiii, oh my, aai oh my
akili yangu unaigonga
jinsi wanakupenda unakoma
baby
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
[khaligraph jones]
kwako mi nishabigy hadithi za wanafiki no
voice yako clarity
____
___
aiii, oh my, aai oh my
akili yangu unaigonga
jinsi wanakupenda unakoma
baby
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
كلمات أغنية عشوائية
- star academy 3 - l'orange du marchand كلمات أغنية
- frank zappa - road ladies [hybrid concert] كلمات أغنية
- mattiel - looking down the barrel of a gun كلمات أغنية
- thomas anders - clear sign كلمات أغنية
- dorothée - marjolaine et nicolas كلمات أغنية
- pers - tqt كلمات أغنية
- money boy - grey hoodie كلمات أغنية
- peter blegvad - swim كلمات أغنية
- 69d0llar$ign$ - cooking that crack كلمات أغنية
- #krnk - максфактор (maxfactor) كلمات أغنية