kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

akoth - kenya naipenda كلمات الأغنية

Loading...

kenya naipenda nchi yangu,
kenya najivunia nchi yangu,
kenya nafurahia nchi yangu,
kenya nashangilia nchi yangu,

kenya naipenda nchi yangu
kenya ina mali tele tele
kenya nashangilia nchi yangu
kenya yapendeza kweli kweli iii

nashukuru mimii ni mkenya

kenya ina mengi yafurahisha,
milima mabonde wanyama wa porini,
makabila arobaini na mawili,
wakenya wanapendeza kote kote,

wajaluo wakalenjini wakikuyu
wamasaii waluhya na wakamba
wamijikenda wameru waembu na wagusii
nawengine wakenya wote wapendeza aaa

najivunia kuwa mkenya

wageni karibuni kenya yetu,
jambo sana kenya hakuna matata,
kuna vitu vingi vya kufurahisha,
kuna mahali pengi pa kutembelea,

nairobi masaii mara amboseli
aberdare samburu nakuru naivasha
mount kenya shimba hills na tsavo park
amboseli mombasa kisumu na malindi iii

nafurahia kuwa mkenya

our visitors welcome to kenya,
kenya is a very beautiful country,
kenyans are very hospitable people,
enjoy yourselves and have a good time,

mungu ibarikii kenya yetu,
mungu mbarikii rahisi wetu,
mungu wabariki viongozi wetu,
mungu wabariki wakenya wote,
mungu wabariki wageni wetu,
mungu itawale kenya yetu uuu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...