kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

agogo - chalii wa kitaa كلمات الأغنية

Loading...

chorus
tunachapa kazi, tunasongesha bila wasiwasi, (chalii wa kita
jasho linatiririka, ila mwishoe tunaburudika, (chalii wa kitaa)
tunahustle all day and all night, but we still alright, (chalii wa kitaa)
mkono juu, shukuru aliye juu, siku zote tunaishi like this;

verse 1

aaaaahhhh ni star wa kitaa
akiwakilisha, witness the bigger picture
aaaaaahhhh ni shujaa ile balaa
hakubali kushindwa, atabaki kua bingwa
aaaaaahhhh we balling in the streets
aaaahhhh i got you standing on your feet
naweza kua jpm for a minute
state house backyard singing mungu tubariki
finger up like f-ck beef and burger, hapa chai na karanga
kama hukai hunifai hawa cowards nawaswaga
unajidai uko fly n-z-changa ka mchaga
au karata uliza kitaa sijawahi lamba garasa
mi nakaza we unakazwa mbwiga kamwe haiwezekani mi casa kua su casa
kaa chini skiza darasa la maisha
something about cl-ss that makes it okay kuvuta shisha…

chorus
tunachapa kazi, tunasongesha bila wasiwasi, (chalii wa kita
jasho linatiririka, ila mwishoe tunaburudika, (chalii wa kitaa)
tunahustle all day and all night, but we still alright, (chalii wa kitaa)
mkono juu, shukuru aliye juu, siku zote tunaishi like this;

hook
aye ×6
mtaa uko ngumu ila bado tunafurahi, like
aye x6
hatukubali kushindwa, (we keep on struggling)

verse 2
catch me cruising na bajaji
call me captain of the crew ya washikaji
ni exception, when you talk about maji
hatuwataki wazamiaji
mimi na my kinfolks ruti zetu kwa daladala
even if we run broke tunajichanga daladala
we always be dreaming of making more daladalaaaa
why you looking at me funny
wining and dining kwa mama yetu ni kutamu hatari
nitilie more please, reminiscing those days
reminding me when we were kids
tukigombania wali
tumetoka chini now we here
it’s about time nikiwaambia
dada, kaka, wakubwa na madogo pia
kama na wewe ni hustler basi f-gilia
t. a. b. a. t. a that’s what i’m reppin
909 my foundation god bless we

chorus
tunachapa kazi, tunasongesha bila wasiwasi, (chalii wa kitaa)
jasho linatiririka, ila mwishoe tunaburudika, (chalii wa kitaa)
tunahustle all day and all night, but we still alright, (chalii wa kitaa)
mikono juu, shukuru aliye juu, siku zote tunaishi like this;

hook
aye ×6
mtaa uko ngumu ila bado tunafurahi, like
aye x6
hatukubali kushindwa, (we keep on struggling)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...