
abigail chams - chapati كلمات أغنية
[intro : abigail chams]
ah, ah, ah, ah
ah, ah, ah, ah
ah, ah, ah, ah
ah, ah, ah, ah
[verse 1 : abigail chams]
yalaa wee
kwani we ni nani we bwana we, bwana wee
usinizoee
haiwezekani me kuwa na we bwana we mmh
[chorus : abigail chams]
ume mpata mpenzi lakini hawezi kunifikia
(ooh hawezi kunifikia)
ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia
(ooh hawezi kunifikia)
ah, ah, ah, ah (kunifikia)
ah, ah, ah, ah (hawezi kunifikia)
ah, ah, ah, ah (kunifikia)
ah, ah, ah, ah (hawezi kunifikia)
[verse 2]
imekula kwako
hutakuja pata, atakupenda kama mimi
imekula kwako
hutakuja pata, atakupenda kama mimi
shauri yako
huyo mtu wako ana sura kama jini
shauri yako
huyo mtu wako ana sura kama jini
[chorus : abigail chams]
ume mpata mpenzi lakini hawezi kunifikia
(ooh hawezi kunifikia)
anapiga jiu lakini tatizo ni kibamia
(ooh hawezi kunifikia)
ah, ah, ah, ah (kunifikia)
ah, ah, ah, ah (hawezi kunifikia)
ah, ah, ah, ah (kunifikia)
ah, ah, ah, ah (hawezi kunifikia)
[bridge]
usinifanye nimwage mchele kwenye umati
(usinifanye nimwage mchele kwenye umati)
mwanaume gani wewe? ama unataka chapati?
(mwanaume gani wewe? ama unataka chapati?)
usinifanye nimwage mchele kwenye umati
(usinifanye nimwage mchele kwenye umati)
mapenzi una_force wewe, wakati ashasema hakutaki
(mapenzi una_force wewe, wakati ashasema hakutaki)
[chorus : abigail chams]
ume mpata mpenzi lakini hawezi kunifikia
(ooh hawezi kunifikia)
ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia
(ooh hawezi kunifikia)
ah, ah, ah, ah (kunifikia)
ah, ah, ah, ah (hawezi kunifikia)
ah, ah, ah, ah (kunifikia)
ah, ah, ah, ah (hawezi kunifikia)
[outro]
chaka jinja, chaka jinja
chaka_chaka, chaka_chaka
chaka jinja, chaka jinja
chaka_chaka, chaka_chaka
chaka jinja
e wena, ewei chaka jinja
chaka_chaka, chaka_chaka
chaka jinja
chaka jinja, chaka jinja
chaka_chaka, chaka_chaka
chaka jinja
كلمات أغنية عشوائية
- eddie vedder - porch (acoustic at home) كلمات أغنية
- serdar ortaç - utansın كلمات أغنية
- max vincent - beogradska devojka كلمات أغنية
- belmondo - pappardelle all'arrabbiata كلمات أغنية
- uvaag - lugnt 2021 كلمات أغنية
- patron - vakit doldu كلمات أغنية
- philippine violators - children sick كلمات أغنية
- the neighbours, high beats - now (high beats remix) كلمات أغنية
- lapix - what about us كلمات أغنية
- lapix - loneliness كلمات أغنية