
abigail chams - bata كلمات أغنية
[verse 1]
haya maisha joo hakuna part 2
na ndio maana
kila siku kw_ngu kama siku kuu
napambana
[pre_chorus]
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
ooh kwani
[chorus]
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
[verse 2]
money don’t lie, gonga cheers tufurahi
nishajipata now niacheni nijidai
mmh, mmh, uh no_no
everyday be day to party, (uh_huh)
living life like it’s a movie (uh_huh)
out all night and in the morning
we hungover, we hungover (uh_huh)
9 to 5 i work i no sleep (uh_huh)
steady grind all days of the week (uh_huh)
i get the green to light up the green
so come over, come over
[pre_chorus]
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
ooh kwani
[chorus]
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
كلمات أغنية عشوائية
- carlos herrera music - lift كلمات أغنية
- maurício pereira - mau كلمات أغنية
- dr. living dead! - terror vision كلمات أغنية
- saceuaboss - suicidal luv كلمات أغنية
- andrew may - the way you love كلمات أغنية
- nada - una pioggia di sale كلمات أغنية
- jorge valenzuela - no me hace falta nada كلمات أغنية
- lil riang - lei da hood كلمات أغنية
- jawga boyz - what i do كلمات أغنية
- femi kuti - no place for my dream كلمات أغنية