kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

abbey mickey - abbey mickey - mi corazon {official video} كلمات الأغنية

Loading...

jesus mi corazon te pertenece(jesus my heart belongs to you)
jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece

ulinipenda one time
ukanifanya mwana katika ufalme wako
nikapata father akanijaza na roho mtakatifu

sasa niko huru ( huru huru huru, huru)
sasa niko huru ( huru huru huru, huru)
sasa niko huru ( huru huru huru, huru)

jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece

machoni pako hamna hesabu ya hatia zangu
mikononi mwako hakuna ghadhabu juu ya matendo yangu
napokuangalia naiona ishara
nimesamehewa nawe
nimesamehewa oooh eeh

nishajua unanipenda we baba
nishajua unanipenda wewe tu
nishajua unanipenda we baba
nishajua unanipenda oooh yeah
nishajua unanipenda penda penda penda penda penda penda penda yeah…. whooooaaaa
jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece
jesus mi corazon te pertenece

nishajua unanipenda we baba
nishajua unanipenda wewe tu
nishajua unanipenda we baba
nishajua unanipenda oooh yeah
nishajua unanipenda penda penda penda penda penda penda penda yeah…. whooooaaaa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...