kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

a.t. zanzibari - homa lyrics

Loading...

[intro]
ha_ha
uprise music, baby

[chorus]
nikikuona napata homa
nashindwa sema, “nakupenda sana”
nikikuona napata homa
nashindwa sema, “nakupenda sana”
ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah

[verse 1]
kila siku akipita, moyo w_ngu unapwita
na sidhani atanielewa jamani
naona najihangaisha
roho yangu inapaparika
wala wa k_mtuma mimi sina
(sina)
natamani anipige kalenda
sinapo pa kwenda, ‘kwake nitaganda

[bridge]
na siwezi niwe rafiki kwake tu
(rafiki kwake tu)
na siombe apate mwingine, yeah
(apate mwingine)
na siwezi niwe rafiki kwake tu
(rafiki kwake tu)
na siombe apate mwingine…
(apate mwingine)
yeah
[chorus]
nikikuona napata homa
nashindwa sema, “nakupenda sana”
nikikuona napata homa
nashindwa sema, “nakupenda sana”
ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah

[verse 2]
rafiki yake sijui nani
naumia, natangaza hadharani
lakini naogopa
na si [?] tena, roho inaniuma, ‘hata nikimuona, ah
nani nimuambie, anisikie ‘aje naye
ili nifurahie

[bridge]
na siwеzi niwe rafiki kwake tu
(rafiki kwake tu)
na siombе apate mwingine, yeah
(apate mwingine)
na siwezi niwe rafiki kwake tu
(rafiki kwake tu)
na siombe apate mwingine…
(apate mwingine)
yeah
[chorus]
nikikuona napata homa
nashindwa sema, “nakupenda sana”
nikikuona napata homa
nashindwa sema, “nakupenda sana”
ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah
ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah
(ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah_ah, ah_ah)

[outro]
ukweli nampenda sana
na leo naieka bayana
siwezi hata k_mdanganya
ukweli nampenda sana
na leo naieka bayana
siwezi hata k_mdanganya
ah_ah_ah…
ukweli nampenda sana
na leo naieka bayana
siwezi hata k_mdanganya

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...